December 23, 2022

Day

Tanzania ni nchi ya 16 katika uzalishaji wa zao la alizeti duniani. Katika eneo lote linalolimwa Tanzania; asilimia 6 hutumika kwa ajili ya kilimo cha alizeti. Zao hili linatumika kwa matumizi mbalimbali ikiwemo kutengeneza mafuta, kuengeneza bidhaa mbalimbali viwandani mfano rangi na sabuni. Mabaki yanayopatikana baada ya kukamua mafuta (mashudu) hutumika kama chakula kwa ajili...
Read More